Ikiwa leo Oktoba 1, 2020 Serikali ya Afrika Kusini imeruhusu safari za kuingia na kutoka Kimataifa, Waziri wa Uchukuzi wa nchi hiyo, Fikile Mbalula amezitaja nchi 57 ambazo raia wake hawapaswi kuingia Afrika Kusini, labda kwa sababu zenye msingi ikiwemo wawekezaji.
Kwa mujibu wa Waziri Mbalula, zifuatazo ni nchi ambazo raia wake hawatoruhusiwa kuingia Afrika ya Kusini kwa sababu ya nchi zao kuwa na maambukizi mengi zaidi ya virusi vya Corona (Covid-19).
Nyingine ni Guam, Guatemala,Guyana,Honduras,Hungary,Iceland, India, Iran, Iraq, Ireland,Israel, Jamaica,Jordan,Kosovo,Kuwait,Lebanon,Luxembourg,Maldives,Malta,Mexico Moldova, Monaco
Montenegro, Netherlands,Nepal, North Macedonia,Oman,Palestine,Panama,Palau,Paraguay na Portugal.
Pia kuna Puerto Rico,Romania,Qatar, Russia,San Marino, St Marteen, Slovakia,Slovenia, Suriname,
Switzerland, Trinidad and Tobago, Turks and Caicos Islands, Ukraine, United Kingdom, United States of America US, Virgin Islands na Venezuela.