Afande kama taarifa hii ni ya kweli: 1. Yupo kituo gani cha Polisi
na kwa tuhuma zipi ili sisi wanafamilia na wanasheria wetu tuende tukamwone? 2. Mbona amekaa Polisi zaidi ya masaa 24 muda ambao kisheria alitakiwa awe amehojiwa na kupelekwa mahakamani au kuachiwa huru?
Kwa tukio lolote la habari, makala au picha wasiliana nasi Diramakini Business Limited saa 24 kupitia +255 719254464 au barua pepe; diramakini@gmail.com
No comments