Kurasa za Magazeti ya Kiswahili Septemba 24, 2020

Ni mwendo wa ahadi kila kona, wagombea wengine baada ya uzinduzi waamua kubisha hodi nyumba baada ya nyumba kutafuta kura kuelekea Oktoba 28 ambayo ni siku ya Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania.
 No comments

Powered by Blogger.