Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan awasha mitambo ya ushindi Mtwara Mjini kuelekea Oktoba 28


Sehemu ya maelfu ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi wa Jimbo la Mtwara Mjini wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) alipokuwa akiwahutubia kwenye mkutano wa kampeni wa Chama Cha Mapinduzi katika Viwanja vya Sabasaba Mtwara Mjini Septemba 10,2020.

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akihutubia wanachama wa Chama Cha Mapinduzi na wananchi wa Jimbo la Mtwara Mjini katika mkutano wa kampeni wa Chama Cha Mapinduzi kwenye Viwanja vya Sabasaba Mtwara Mjini mkoani Mtwara Septemba 10,2020.
No comments