Mgombea Mwenza Samia Suluhu Hassan atikisa Kanda ya Kaskazini

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi wa Kijiji cha Ayalagaya na Darega Babati alipokuwa njiani akielekea Wilaya ya Babati vijijini mkoani Manyara kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi CCM leo Septemba 29,2020. (OMW).

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi wa Kijiji cha Ayalagaya na Darega Babati alipokuwa njiani akielekea Wilaya ya Babati vijijini mkoani Manyara kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi CCM leo Septemba 29,2020. (OMR).
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi wa Kijiji cha Bashnet Babati Vijijini wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiwahutubia katika mkutano wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uwanja wa Mnadani Babati Vijijini mkoani Manyara leo Septemba 29,2020.

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akihutubia wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi wa Bashnet Wilaya ya Babati Vijijini kupitia mkutano wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uwanja wa Mnadani Bashnet Babati Vijijini mkoani Manyara leo Septemba 29,2020. (OMR).
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubi Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Bashnet Wilaya ya Babati Vijijini mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Mnadani Bashnet Babati Vijijini Mkoani Manyara leo Septemba 29,2020. (OMR)

Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi wa Kijiji cha Bashnet Babati Vijijini wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiwahutubia katika mkutano wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uwanja wa Mnadani Babati Vijijini mkoani Manyara leo Septemba 29,2020.
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi wa Kijiji cha Bashnet Babati Vijijini wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiwahutubia katika mkutano wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uwanja wa Mnadani Babati Vijijini mkoani Manyara leo Septemba 29,2020.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubi Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Bashnet Wilaya ya Babati Vijijini mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Mnadani Bashnet Babati Vijijini Mkoani Manyara leo Septemba 29,2020. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi wa Kijiji cha Bashnet Babati Vijijini wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiwahutubia katika mkutano wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uwanja wa Mnadani Babati Vijijini mkoani Manyara leo Septemba 29,2020.
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi wa Kijiji cha Bashnet Babati Vijijini wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiwahutubia katika mkutano wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uwanja wa Mnadani Babati Vijijini mkoani Manyara leo Septemba 29,2020.

No comments

Powered by Blogger.