Mgombea Urais Maalim Seif Sharif Hamad asema akipewa ridhaa Oktoba 28 wakulima, wafanyabiashara watafurahia matunda ya kazi zao
Jambo kubwa ambalo amesisitiza ni kwamba iwapo watamchagua Oktoba 28, mwaka huu kuwa Rais wa Zanzibar atahakikisha wakulima na wafanyabiashara wanafurahia kazi zao.
Amesema, atafanya hivyo kwa kuwawekea mazingira wezeshi ambayo yatampa fursa kila mmoja kunufaika zaidi.
No comments