Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt.Hassan Abbasi Said ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ametumia dakika mbili tu kuyajibu madai ya Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Tundu Lissu kuhusiana na taarifa zinazodaiwa kuwa ni za upotoshaji juu ya Shirika la Ndege nchini.
Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt.Abbasi amjibu Lissu kwa dakika mbili tu