Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo kuanzia saa 3 usiku wa leo Septemba 10,2020

 Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini, mvua na ngurumo zinatarajiwa katika maeneo machache ya Ukanda wa Ziwa Victoria. 

No comments

Powered by Blogger.