Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku wa leo Septemba 15, 2020

Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), upepo wa Pwani unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya kilomita 30 kwa saa kwa Pwani yote kutoka Kusini Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Mashariki kwa Pwani ya Kusini, vivyo hivyo hali ya bahari inatarajiwa kuwa na mawimbi makubwa kiasi.Pia meneo mengi yanatarajiwa kuwa na mawingu kiasi na vipindi vya jua. TMA inabainisha kuwa, matarajio kwa siku ya Alhamisi ya Septemba 17, 2020 kutakuwa na mabadiliko kidogo.

 

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news