ANGALIZO
Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), vipindi vya upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa na
mawimbi makubwa yanayofikia mita mbili vinatarajiwa katika maeneo machache
ya mwambao wa Pwani ya Kusini ya Bahari ya Hindi (mikoa ya Lindi na
Mtwara).
No comments