Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku wa leo Septemba 25,2020

Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), baadhi ya maeneo yanayozunguka Ziwa Victoria yanatarajiwa kuwa na hali mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

No comments

Powered by Blogger.