Kurasa za Magazeti ya Kiswahili Oktoba 19,2020


Siku tisa za lala salama kuelekea Oktoba 28, mwaka huu zinaanza rasmi leo Oktoba 19,2020 kabala ya Watanzania kuanza kumiminika vituoni ili kufanya maamuzi juu ya yupi ambaye anawafaa kuwatumikia katika nafasi ya Udiwani, Ubunge na Urais.1 comment:

  1. Asanteni kwa Magazeti, ila siku hizi Tanzania hakuna magazeti bali kuna vigazeti,bora hata ya wenzetu huko nje, yamejawa na ujasiri wa kuwapasha walaji wao habari sahihi kwa wakati sahihi bila kukona kona

    ReplyDelete

Powered by Blogger.