Kurasa za Magazeti ya Kiswahili Oktoba 21,2020


“Tarehe 28 Oktoba 2020 nawakumbusha Watanzania tukamchague kiongozi atakayethamini amani yetu na kuilinda kwa maslahi ya taifa letu na niwaombe viongozi wa dini, kuendelea kuiombea nchi yetu amani, kwani viongozi wa dini mnajua kuwa Mwenyezi Mungu ni kishikio na mwenye kumshika haanguki, hivyo tuendelee kuiombea nchi yetu,"amesema Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano Tanzania Mkoa wa Mwanzam, Alhaji Shekhe Mussa Kalwanyi wakati akitoa tamko la jumuiya kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba 28,2020, imeidhinishwa na Diramakini Business Limited.

No comments

Powered by Blogger.