Kurasa za Magazeti ya Kiswahili Oktoba 23,2020Simba SC, mabingwa mara tatu mfululizo wa Ligi Kuu, wanabaki na alama zao 13 baada ya kipigo cha jana huku wakizidiwa alama tatu na mahasimu wao, Yanga SC baada ya timu zote kucheza mechi sita, wakati Azam FC wanaendelea kuongoza kwa alama 21 za mechi saba hadi sasa.

No comments

Powered by Blogger.