Azam FC yakwea kileleni kwa ushindi wa mabao 4-2

 

Huu ni mchezo kati ya Azam FC na Kagera Sugar kuanzia saa 1:00 usiku huu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam, endelea kufuatilia hapa.... Matokeo ni Azam Fc 4-2 dhidi ya Kagera Sugar.

Post a Comment

0 Comments