LIVE: Viongozi wa dini wafunguka, wasema utajiri wa Tanzania unakodolewa macho

 

"Nchi yetu ni tajiri sana na hakuna nchi ambayo ni tajiri ambayo huwa haikodolewi macho ya husuda, uroho. Tuwe makini sana, mara nyingi watu hao huwa wanafanikiwa siku hizi za uchaguzi.Ubabe hautatusaidia, tunahitaji busara, ndiyo maana leo viongozi tupo hapa, tunataka amani itawale kabla na baada ya Uchaguzi Mkuu...fuatilia hapa  Mwandishi Diramakini atakupa mrejesho kila saa.

 

2 comments:

 1. Wana mnayatoa wapi haya mawe, mbona mnayatupia sana, ils hongereni kwa kazi zenu nzuri, blog ipo active sana

  ReplyDelete
  Replies
  1. Tunakushukuru kwa kutufualia.

   Wako
   Mhariri
   Diramakini

   Delete

Powered by Blogger.