MASAUNI ATEMBELEA MAJERUHI WA VURUGU ZA KISIASA KISIWANI PEMBA

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati), akimsikiliza Mganga Mkuu wa Hospitali ya Micheweni, Dkt. Mbwana Shoka wakati akitoa taarifa ya maendeleo ya mmoja wa majeruhi wa vurugu za kisiasa zilizotokea Visiwani Pemba,Khamis Hamad Haji na wanaodaiwa wafuasi wa Chama cha ACT Wazalendo, ambapo jumla ya majeruhi saba wanapatiwa huduma katika Hospitali ya Micheweni iliyopo Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akimsikiliza Mganga Mkuu wa Hospitali ya Micheweni, Dkt.Mbwana Shoka wakati akitoa taarifa ya maendeleo ya mmoja wa majeruhi wa vurugu za kisiasa zilizotokea Visiwani Pemba, Khatibu Said Khatibu ambapo alijeruhiwa maeneo ya tumboni na mgongoni kwa kuchomwa kisu na wanaodaiwa wafuasi wa Chama cha ACT Wazalendo,ambapo jumla ya majeruhi saba wanapatiwa huduma katika Hospitali ya Micheweni iliyopo Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akimsikiliza mmoja wa majeruhi wa vurugu za kisiasa zilizotokea Visiwani Pemba, Khatibu Said Khatibu ambapo alijeruhiwa maeneo ya tumboni na mgongoni kwa kuchomwa kisu na wanaodaiwa wafuasi wa Chama cha ACT Wazalendo, ambapo jumla ya majeruhi saba wanapatiwa huduma katika Hospitali ya Micheweni iliyopo Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati), akimsikiliza Mganga Mkuu wa Hospitali ya Micheweni, Dkt. Mbwana Shoka wakati akitoa taarifa ya maendeleo ya mmoja wa majeruhi wa vurugu za kisiasa zilizotokea Visiwani Pemba,Khamis Hamad Haji na wanaodaiwa wafuasi wa Chama cha ACT Wazalendo, ambapo jumla ya majeruhi saba wanapatiwa huduma katika Hospitali ya Micheweni iliyopo Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news