Mtoto aliyepotea anawasubiria wazazi Kituo cha Polisi Goba

Mtoto aliyepotea anawasubiria wazazi, walezi katika Kituo cha Polisi Goba jijini Dar es Salaam karibia wiki moja sasa. Kwa yeyote anayewafahamu, ndugu, wazazi au jamaa na marafiki awape taarifa wakamchukue mtoto wao. DIRAMAKINI BUSINESS LIMITED inakupa nafasi ya kutangaza bidhaa yako yoyote au kitu chochote katika tovuti hii pendwa kwa gharama kuanzia shilingi elfu moja (1000) tu kwa siku, usisite kuwasiliana nasi kupitia (diramakini@gmail.com). Karibuni sana.

No comments

Powered by Blogger.