Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo kuanzia leo saa 3:00 usiku Oktoba 15,2020

Mchambuzi ni Doreen Mwara kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA). 

Imeandaliwa na Mwandishi Diramakini kwa msaada wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA). Kwa mujibu wa TMA, Dar es salaam inatarajiwa hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi na vipindi vya jua.

No comments

Powered by Blogger.