Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo kuanzia leo saa 3:00 usiku Oktoba 19,2020

  

Mchambuzi ni Ramadhani Omary kutoka TMA.Imeandaliwa na Mwandishi Diramakini kwa msaada wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA). Kwa mujibu wa TMA maeneo yanayozunguka Ziwa Victoria yanatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

No comments

Powered by Blogger.