Utabiri wa Hali ya Hewa saa 24 zijazo kuanzia saa 3 usiku wa leo Oktoba 21,2020, Mchambuzi ni Godfrey Kazinja kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).
KWA MUJIBU WA MAMLAKA YA HALI YA HEWA (TMA) VIPINDI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA MIKOA YA MWANZA NA SHINYANGA.