UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 OKTOBA 22,2020

 
Mchambuzi Thereza Ngassa


 Kwa mujibu wa Mamlaka ya Halinya Hewa Tanzania (TMA). Baadhi ya mikoa ya Ukanda wa Ziwa Victoria na Magharibi mwa nchi yanatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

No comments

Powered by Blogger.