Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo kuazia saa 3:00 usiku wa leo Oktoba 3, 2020

Mchambuzi ni Akili Mwangaza kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).


 Mwandishi wa Diramakini ameyakusanya haya kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), kwa mujibu wa TMA, maeneo ya mikoa ya Kagera na Geita yanatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

Post a Comment

0 Comments