Mchambuzi ni Ramadhani Omary kutoka TMA. Imeandaliwa na Mwandishi Diramakini kwa msaada wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA). Kwa mujibu wa TMA, maeneo ya mikoa ya Kagera na Geita yanatarajiwa kuwa na hali ya mawingu
kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.