Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku wa leo Oktoba 6,2020

Mchambuzi ni Thereza Ngassa kutoka TMA.


Imeandaliwa na Mwandishi Diramakini kwa msaada wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA). Kwa mujibu wa TMA, maeneo ya mikoa ya Kagera na Geita yanatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news