BREAKING NEWS: Ni Kassim Majaliwa tena Waziri Mkuu mteule

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli, amependekeza jina la Mbunge wa Ruangwa na Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa kwa Bunge kuthibitishwa kuwa Waziri Mkuu kwa kipindi cha pili, anaripoti Mwandishi Diramakini.

Hayo yamebainishwa leo Novemba 12, 2020 na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Job Ndugai bungeni jijini Dodoma. Taarifa punde...

Post a Comment

0 Comments