Kurasa za Magazeti ya Kiswahili Novemba 14, 2020


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ametoa hotuba yenye dira na mwelekeo wa Taifa ndani ya miaka mitano ijayo, ameitoa Novemba 13, 2020 wakati akifungua Bunge la 12 na kulihutubia Taifa bungeni jijini Dodoma.
.

Post a Comment

0 Comments