Mkurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) atua IringaPichani juu na chini Mkurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), Dkt. Stephan Ngailo akiwa katika ziara mkoani Iringa kujionea upatikanaji na usambazaji wa mbolea.


Mkaguzi wa Mbolea kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), Bw. Allan Mariki akiwa katika ukaguzi wa mbolea mkoani Iringa ili kuhakikisha kuwa kanuni,taratibu na sheria zinafuatwa.

Sehemu ya mbolea iliyohifadhiwa kwenye moja la ghala mkoani Iringa.

Post a Comment

0 Comments