Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt.Magufuli aongoza kikao cha Kamati Kuu


Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja na wajumbe wengine wa Kamati Kuu ya CCM wakati wakiimba wimbo wa chama mara baada ya kufunga kikao hicho cha Kamati Kuu leo Novemba 28, 2020 jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM mkoani Dodoma leo Novemba 28, 2020 jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa, Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein pamoja na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi wakati wakitoka kwenye Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika jijini Dodoma leo Novemba 28,2020.

No comments

Powered by Blogger.