Rais Dkt. Magufuli akizindua Bunge la 12 Novemba 13, 2020

Rais Dk. Magufuli akisalimiana na Spika wa Bunge, Job Ndugai alipowasili kwenye Viwanja vya Bunge tayari kuingia Bungeni kulizindua Bunge la 12 na kulihutubia Bunge kupitia Bunge hilo bungeni jijini Dodoma leo Novemba 13, 2020.
Rais Dkt. John Magufuli akipokea salam za Kikosi cha Polisi wa Kupambana na Ghasia (FFU) na heshima ya wimbo wa Taifa, alipowasili kuzindua Bunge la 12 na kulihutubia Taifa kupitia Bunge hilo.
Rais Dkt. John Magufuli akikagua gwaride maalum la Kikosi cha Polisi wa Kupambana na Ghasia (FFU) alipowasili kuzindua Bunge la 12 na kulihutubia Taifa kupitia Bunge hilo jijini Dodoma leo Novemba 13,2020.
Rais Dk. John Magufuli akikagua gwaride maalum la Kikosi cha Polisi wa FFU alipowasili kuzindua Bunge la 12 na kulihutubia Taifa kupitia Bunge hilo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.John Magufuli akikagua Brass Band ya Polisi leo Novemba 13,2020 bungeni jijini Dodoma.
Rais Dk. John Magufuli akisindikizwa na Spika wa Bunge Job Ndugai kwenda kwenye chumba maalum kabla ya kwenda ukumbini kuzindua Bunge la 12 na kulihutubia Taifa kupitia Bunge hilo bungeni jijini Dodoma leo.
Rais Dkt. John Magufuli akiwa na Spika wa Bunge Job Ndugai kwenye chumba maalum, kabla ya kwenda ukumbini kuzindua Bunge la 12 na kulihutubia Taifa kupitia Bunge hilo bungeni jijini Dodoma leo.
Rais Dkt. John Magufuli akizindua Bunge la 12 na kulihutubia Taifa kupitia Bunge hilo bungeni jijini Dodoma leo.
Wabunge wakiwa bungeni jijini Dodoma, wakati Rais Dkt. John Magufuli akizindua Bunge la 12 na kulihutubia Taifa kupitia Bunge hilo leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa katika ukumbi wa Bunge wakati Rais Dkt. John Magufuli alipokuwa akizindua Bunge na kulihutubia taifa kupitia Bunge hilo, jijini Dodoma leo. Kulia ni Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan na kushoto ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla.
Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wakiwa ukumbini wakati Rais Dkt. John Magufuli akizindua Bunge la 12 na kulihutubia Taifa kupitia Bunge hilo bungeni jijini Dodoma leo Novemba 13, 2020.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news