Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3 usiku wa leo Novemba 30, 2020 unaletwa na mchambuzi, Magreth Massawe kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).
Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA),mvua na ngurumo zinatarajiwa katika maeneo mengi ya nchi.
Kwa tukio lolote la habari, makala au picha wasiliana nasi Diramakini Business Limited saa 24 kupitia +255 719254464 au barua pepe; diramakini@gmail.com
No comments