BREAKING NEWS: Maduka yateketea kwa moto Kagera usiku huu


Taarifa zilizotufikia muda huu chumba cha habari Diramakini zinaeleza kuwa, maduka yanaungua mtoto kwenye majengo ya Kazikomu karibu na City Center Kayanga, Karagwe mkoani Kagera. 

 

Mwandishi Diramakini anaendelea kufanya juhudi zaidi ili kupata taarifa za kina aweze kukujuza hapa.

Post a Comment

0 Comments