DAWASA:Maeneo mengi yatakosa maji Dar kwa saa nne


Kwa mujibu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) leo Desemba 10, 2020 wananchi wanaohudumiwa na mtambo wa maji Ruvu Chini watakabiliwa na ukosefu wa maji kwa saa nne.

Post a Comment

0 Comments