LIVE: KUAPISHWA KWA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS MAALIM SEIF SHARIF HAMAD - IKULU ZANZIBAR


 "Moja ya yaliyofanya kukubali maridhiano ni imani yetu kwako Rais Mwinyi, vitendo na ishara zako ambazo zimetushawishi kuwa una nia njema na dhamira safi ya kututoa tulipokwama na kuibadilisha Zanzibar yetu katika nyanja zote,"Maalim Seif baada ya kula kiapo leo Desemba 8,2020.

No comments

Powered by Blogger.