Rais Magufuli ateua Baraza Jipya la Mawaziri leo Desemba 5,2020

Matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma.

Wafuatao ni mawaziri wateule;


1.Maji -Juma Aweso

2.Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo- Innocent Bashungwa

3.Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Vijana na wenye ulemavu- Jenister Mhagama

4.Waziri wa Afya, maendeleo ya jamii,jinsia na watoto- Doroth Gwajima (Mbunge mpya alikuwa naibu nkatibu mkuu)

5.Wizara anayesimamia Uwekezaji Ofisi ya Rais -Prof. Kitila Mkumbo.

6.Wizara ya Katiba na Sheria-Dkt. Mwigulu Nchemba

7.Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia- Prof Joyce Ndalichako

8.Mifugo na Uvuvi - Mashimba Mashauri Ndaki 

9.Maliasili na Utalii -Dkt. Ndumbalo Damas

10.Ofisi ya Rais TAMISEMI- Suleiman Jaffo

11.Madini- Dotto Biteko

12.Nishati -Dkt.Medard Kalemani

13.Ujenzi na Uchukuzi mbunge mpya Mhandisi Dkt.Leonard Chamuliho (alikuwa Katibu Mkuu Uchukuzi)

14.Kilimo -Prof.Adolph Mkenda.

15.Viwanda na Biashara Mwambie -Geofrey Idelphonce Mwambe

16.Mambo ya Ndani- George Simbachawene

17.Muungano na MAZINGIRA- Ummy Mwalimu

18.Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari-Dkt Faustine Ndugulile

19.Fedha Dkt-Philip Mpango

20.Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof-Paramagamba Kabudi 

21 Ardhi-William Lukuvi

22.Ulinzi na JKT- Elias John Kuandikwa

23.Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora-Kapteni Mstaafu George Mkuchika.

Post a Comment

0 Comments