LIVE:Bagamoyo International Festival December 27th, 2020


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa naye yupo Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo kushuhudia Tamasha la Sanaa na Utamaduni. Waziri Bashungwa pia ameambatana na Naibu Waziri Wizara ya Habari Mhe. Abdallah Ulega akiwemo Katibu Mkuu, Dkt.Hassan Abbasi.

Post a Comment

0 Comments