Lori la mafuta lakamatwa likiwa na viroba 81 vya bangi
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 31 wa makosa mbalimbali ikiwemo kusafirisha viroba 81 vya bangi, lori la mafuta lililokuwa likisafirisha bangi hiyo, misokoto 473 ya bangi na silaha moja aina ya Rifle. Mwandishi Diramakini anakuletea habari punde hapa...

Post a Comment

0 Comments