Mtoto Shabani Haji Shabani aliyetekwa na dereva bodaboda apatikana


Tunatoa shukurani za dhati kwenu nyote mliokuwa pamoja nasi katika juhudi na dua za kumsaka mtoto Shabani Haji Shabani aliyetekwa na dereva wa bodaboda hapa Tabata Segerea mwisho.tunaujulisha umma kuwa mtoto huyu amepatikana na kuletwa hadi nyumbani na wasamalia wema.Mwenyezi mungu awazidishie upendo.
Ahsanteni sana.

Post a Comment

0 Comments