Rais Dkt. Mwinyi amteua Mhandisi Zena kuwa Katibu Mkuu Kiongozi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi leo Desemba 31, 2020 amemteua, Mhandisi Zena Ahmed Said kuwa Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Mhandisi Zena Ahmed Said amechukua nafasi ya Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee ambaye amemaliza utumishi wake Serikalini.

Post a Comment

0 Comments