TANAPA yashinda tuzo ya Kimataifa ya Huduma za Viwango 2020Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) zilianzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Hifadhi za Taifa Tanganyika Sura (ya 412) ya mwaka 1959 kwa ajili ya kuhifadhi mifumo ya ekolojia katika maeneo yote yaliyotengwa kama hifadhi za Taifa pamoja na kupanua hifadhi zilizopo, anaripoti Mwandishi Diramakini.

Kutokana na juhudi za Tanapa wameendelea kutwaa tuzo mbalimbali ndani na nje ya Tanzania ikiwemo hii;


Post a Comment

0 Comments