Uganda mabingwa wa CECAFA-U20 Tanzania 2020Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akimkabidhi kombe nahodha wa Uganda U-20, Kizito Gavin baada ya kutwaa taji hilo mbele ya Tanzania kwa ushindi wa magoli 4-1 leo Desemba 2,2020.
Timu ya Taifa ya Uganda U20 ambao ni Mabingwa wa CECAFA-U20 Tanzania 2020.
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ambae pia ni Rais wa CECAFA, Wallace Karia akimkabidhi Mgeni Rasmi Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Kombe la Ubingwa wa CECAFA U20.

Post a Comment

0 Comments