Utabiri wa hali ya hewa Desemba 17, 2020

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku wa leo Desemba 17, 2020 unawasilishwa na Doreen Mwara kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).

Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), maeneo yanayozunguka Ziwa Victoria, Magharibi mwa nchi pamoja na Nyanda za Juu Kusini-Magharibi yanatarajiwa kuendelea kupata mvua na ngurumo katika maeneo machache.

No comments

Powered by Blogger.