Utabiri wa hali ya hewa Desemba 2, 2020 'MVUA KUBWA'

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku wa leo Desemba 2, 2020 unawasilishwa na mchambuzi Tunza Sanane kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania(TMA).


KWA MUJIBU WA MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA),VIPINDI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA MIKOA YA RUKWA, SONGWE, MBEYA, NJOMBE, IRINGA, DODOMA NA SINGIDA.

Post a Comment

0 Comments