Utabiri wa hali ya hewa Desemba 21, 2020 'JOTOKALI PWANI'

 Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia 3:00 usiku Desemba 21, 2020 unaletwa na mchambuzi Noel Mlay kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).

Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania, kesho kunatarajiwa kuongezeka kwa joto katika Pwani ya Kaskazini, hali hii inatarajiwa kuongeza hali ya fukuto katika maeneo hayo.

Post a Comment

0 Comments