Utabiri wa hali ya hewa Desemba 24, 2020 'UPEPOMKALI'

 

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3 usiku wa leo Desemba 24, 2020 unaowasilishwa na mchambuzi Tunza Sanane kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).

ANGALIZO

Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2.0 unatarajiwa kwa baadhi ya maeneo ya Ukanda wa Pwani ya Bahari ya Hindi (mikoa ya Tanga, Dar es Salaam na Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia) pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba.) kuanzia tarehe 27/12/2020.

Post a Comment

0 Comments