Utabiri wa hali ya hewa Desemba 3, 2020

 Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3 usiku wa leo Desemba 3, 2020 unaowasilishwa na mchambuzi Noel Mlay kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA)

Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), mvua na ngurumo zinatarajiwa katika maeneo mengi ya nchi.

Post a Comment

0 Comments