Utabiri wa hali ya hewa Desemba 30, 2020 'MVUAKUBWA'

 

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku wa leo Desemba 30, 2020 unaletwa na mchambuzi Tunza Sanane kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).


Tahadhari ya mvua kubwa imetolewa kwa baadhi ya maeneo ya mikoa ya Rukwa, Songwe, Mbeya, Iringa, Njombe, Lindi, Mtwara, Ruvuma na Morogoro Kusini kuanzia tarehe 1 mpaka 2 January 2021.

Post a Comment

0 Comments