Utabiri wa hali ya hewa Desemba 7, 2020

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3 usiku leo Desemba 7, 2020 unaletwa na mchambuzi Akili Mwangaza kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).

Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), mvua na ngurumo zinatarajiwa katika maeneo ya Ziwa Victoria pamoja na Magharibi mwa nchi.

No comments

Powered by Blogger.