Utabiri wa hali ya hewa saa 24 zijazo

 Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3 usiku wa Desemba 9, 2020 unaowasilishwa na mchambuzi Amina Saleh kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).


Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), mvua na ngurumo zinatarajiwa kuendelea katika maeneo ya Ukanda wa Ziwa Victoria, Magharibi mwa nchi na Nyanda za Juu Kusini. magharibi.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news