Vigogo wajitosa zaidi Uwenyekiti Simba SC


Inaonekana wabunge wa sasa na wa zamani wamejitokeza kuwania nafasi ya Uenyekiti wa klabu ya Simba SC Februari 7, 2021. Miongoni mwao ni Mbunge wa zamani wa jimbo la Chemba, Juma Suleiman Nkamia, Mbunge wa zamani wa Kilwa, Murtaza Ally Mangungu na Mbunge wa sasa, Rashid Abdallah Shangazi wa jimbo la Mlalo, Lushoto mkoani Tanga wakiwemo wagombea wengine ambao ni Bittony Innocent Mkwakisu na Khamis Omar Mtika.

Post a Comment

0 Comments